Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 96 MALI YAKO SASA nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 96 MALI YAKO SASA nyimbo za wokovu

 

1
Mali yako sasa,
Bwana, tunatoa;
Hatuna yaliyo yetu,
Yote ni vipaji.

2
Sisi watumishi,
Twaungama deni;
Tungeirudisha kwake,
Iliyo ya Bwana.

3
Utusaidie,
Upendo kujua.
Kwa ajili yao wote
Walio gizani.

4
Neno tuamini
Na kutegemea;
Kwamba lote tufanyalo,
Tulifanye kwako.

Exit mobile version