Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 89 ASUBUHI nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 89 ASUBUHI nyimbo za wokovu

 

1
Bwana asubuhi kucha
Nitakuinua
Sauti yangu kuomba,
Nipate Baraka.

2
Nakuomba roho yako
Niongozwe nayo;
Nifanye yanipasayo,
Na mapenzi yako.

3
Wanaokutegemea,
U Mlinzi wao;
Matumaini wanayo,
Utayatimiza.

4
Na kwa wingi wafadhili,
Nyumbani mwako juu
Nitaingia na wimbo,
Pale kusujudu.

Exit mobile version