Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 87 SIKU YA SABATO nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 87 SIKU YA SABATO nyimbo za wokovu

 

1
Siku ya Sabato,
Siku takatifu,
Watu wako Mungu wetu,
Waipenda sana.

2
Uliitakasa,
Uliibariki,
Siku hiyo ya Sabato,
Siku yako Bwana.

3
Nasi tubariki
Tukikuabudu,
Katika siku ya raha,
Siku yako Bwana.

4
Halafu mbinguni,
Pamoja na Wewe,
Tunataka kuzishika
Sabato za Bwana.

Exit mobile version