Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 80 TUPE MOTO WA UHAI nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 80 TUPE MOTO WA UHAI nyimbo za wokovu

 

1
Tupe moto wa uhai
Uliowaka zamani,
Uliowaongoza juu
wazee watakatifu.

2
Wapi roho iliyokaa
Moyoni mwa Ibrahimu?
Kadhalika ndugu Paulo
Aliwezeshwa na moto.

3
Neema yako haina
Nguvu siku hizi sawa
Kama wakati wa Musa,
Ayubu na wa Eliya?

4
Zamani za kale, Bwana,
kumbuka na kwa rehema.
Zihuishe roho zetu
kwa Roho Mtakatifu.

Exit mobile version