Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 70 WAPENZI WA BWANA nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 70 WAPENZI WA BWANA nyimbo za wokovu

 

1
Wapenzi wa Bwana
Ije raha yenu!
Imbeni nyimbo za raha,
Imbeni nyimbo za raha;
Za ibada yenu,
Za ibada yenu

Twenenda Zayuni,
Mji mzuri Zayuni!
Twenenda juu Zayuni,
Ni maskani ya Mungu.

2
Wasiimbe wao
Wasioamini,
Watoto wa Mungu ndio,
Watoto wa Mungu ndio
Waimbao chini,
Waimbao chini.

3
Twaona rohoni
Baraka za Mungu,
Tusijafika mbinguni,
Tusijafika mbinguni
Kwenye utukufu,
Kwenye utukufu.

4
Tutakapomwona
Masumbuko basi,
Huwa maji ya uzima,
Huwa maji ya uzima,
Anasa halisi,
Anasa halisi.

Exit mobile version