Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 48 NINAKUPENDA ZAIDI nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 48 NINAKUPENDA ZAIDI nyimbo za wokovu

 

1
Ninakupenda zaidi,
Ya vyote vingine;
Kwani umenipa raha,
Na amani, Bwana.

Nusu haijatangazwa
(tangazwa)
Ya upendo wako;
Nusu haijatangazwa
(tangazwa)
Damu hutakasa (takasa)

2
Nakujua u karibu
Kuliko dunia;
Kukukumbuka ni tamu
Kupita kuimba.

3
Kweli wanifurahisha,
Na nitafurahi;
Pasipo upendo wako
Naona huzuni.

4
Itakuwaje Mwokozi,
Kukaa na wewe,
Ikiwa ulimwenguni
Tuna furaha hii?

Exit mobile version