Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 32 KARIBU SANA nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 32 KARIBU SANA nyimbo za wokovu

 

1
Karibu sana univute,
Karibu sana daima niwe.
Bwana napenda unishike,
Unilinde nisitengwe nawe,
Unilinde nisitengwe nawe.

2
Karibu sana, sina kitu,
Sina sadaka kwa Bwana Yesu,
Isipokuwa moyo wangu;
Uutakase katika damu,
Uutakase katika damu.

3
Karibu sana, Wewe nami.
Ninafurahi kuacha

Exit mobile version