Wimbo 220 PAMBAZUKO NURU nyimbo za wokovu treasurehymns miezi 6 ago Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Wimbo 220 PAMBAZUKO NURU nyimbo za wokovu Pambazuka nuru, Siku mpya yaja, Basi amkeni na kuimba, Ninyi nyote! Pambazuka nuru, Siku mpya yaja, Yesu atakaporudi Kama Mfalme!