Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 218 OMBA SANA ASUBUHI nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 218 OMBA SANA ASUBUHI nyimbo za wokovu

 

Omba sana asubuhi,
Omba sana mchana,
Omba sana na jioni,
Bwana hutusikia.

Mungu hujibu maombi,
Asubuhi na mchana,
Hata hutungojea tena,
Wakati wa jioni.

Na tuimbe asubuhi,
Tena saa za mchana,
Hivi tutafurahi Naye,
Pumziko la jioni.

Exit mobile version