Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
Wimbo 214 NIWE NAO UZURI WA MWOKOZI nyimbo za wokovu
Niwe nao uzuri
Wa Mwokozi,
Nao huruma
Zake na usafi,
Roho Mtakatifu
Anibadilishe,
Aonkane Yesu
Ndani yangu.
Niwe nao uzuri
Wa Mwokozi,
Nao huruma
Zake na usafi,
Roho Mtakatifu
Anibadilishe,
Aonkane Yesu
Ndani yangu.