Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
Wimbo 210 NAPENDA SANA KUFIKA nyimbo za wokovu
1
Napenda sana kufika,
Skuli ya Sabato
Napenda sana kufika,
Skuli ya Sabato
2
Napenda sana kuimba,
Habari za Yesu,
Napenda sana kuimba,
Siku ya Sabato.
3
Napenda sana kutoa,
Sadaka kwa Yesu,
Napenda sana kutoa,
Siku ya Sabato.
4
Napenda sana kuomba,
Kwa Yesu, kwa Yesu,
Napenda sana kuomba,
Siku ya Sabato.
5
Napenda sana kujua,
Maneno ya Yesu,
Napenda sana kujua,
Siku ya Sabato.
6
Napenda sana kusema,
Fungu la kariri,
Napenda sana kusema,
Siku ya Sabato.