Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 209 MUNGU AFANYA UPINDI nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 209 MUNGU AFANYA UPINDI nyimbo za wokovu

 

1
Mungu afanya upindi,
Namjua, namjua
Mungu afanya upindi,
Nampenda kwa hiyo.

2
Mungu atuma upindi,
Ni bora mweupe.
Mungu atuma upindi,
Kwamba yu karibu.

Exit mobile version