Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 205 KUWA NA YESU NYUMBANI nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 205 KUWA NA YESU NYUMBANI nyimbo za wokovu

 

1
Kuwa na Yesu nyumbani,
Furaha nyingi,
Furaha nyingi,
Furaha nyingi,
Kuwa na Yesu nyumbani,
Furaha nyingi,
Furaha nyingi.

2
Yesu yu ndani ya baba,
Nyumba salama,
Nyumba salama,
Nyumba salama;
Yesu yu ndani ya baba.
Nyumba salama,
Nyumba salama.

3
Yesu yu ndani ya mama
Nyumba salama,
Nyumba salama,
Yesu yu ndani ya mama
Nyumba salama,
Nyumba salama.

4
Yesu ndani ya watoto
Nyumba salama,
Nyumba salama,
Yesu yu ndani ya watoto
Nyumba salama,
Nyumba salama.

Exit mobile version