Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 193 SAUTI YAKE MCHUNGAJI nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 193 SAUTI YAKE MCHUNGAJI nyimbo za wokovu

 

1
Sauti ya Mchungaji,
Ninasikia jangwani
Kondoo waliopotea
Anawaita warudi.

Leteni, leteni,
Leteni toka dhambini;
Leteni, leteni,
Waleteni kwa Yesu.

2
Nani atakayekwenda
Amsaidie mchungaji.
Awarudishe zizini,
Wasife bure gizani?

3
Usikose kusikia
Sauti ya Mchungaji,
Kondoo waliopotea
Nenda na kuwatafuta.

Exit mobile version