Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 191 MKATE WA MBINGU nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 191 MKATE WA MBINGU nyimbo za wokovu

 

1
Mkate wa mbingu mega kwetu;
Ulivyotoa kwa thenashara.
Katika kitabu, twakuona.
Moyo unatweta kukutana.

2
Neno la ukweli, libariki;
Tusikie mwito wa upole.
Vizuizi vyote vitakoma,
Tena tutapata uungwana.

3
Uzima na nguvu, utanena;
Nakimbiliza tu kufuata.
Lakini mnyonge ndiye mimi:
Naye Mshindaji ndiye wewe!

Exit mobile version