Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 181 TUTAKAA MAHALI PA MAJI nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 181 TUTAKAA MAHALI PA MAJI nyimbo za wokovu

 

1
Mahali pa maji mazuri
Maji ya uzima;
Anapotungojea Yesu
Tutakaribishwa.

Mahali pa maji mazuri,
Penye maji ya uzima;
Tutakaa na Mwokozi,
Chemchemi ya uzima.

2
Tunapochoka safarini
Tamu kupumzika.
Panapo maji ya uzima
Yatufurahisha.

3
Una kiu? uje kwa Yesu,
Utaburudishwa;
Yesu yu maji ya uzima,
Unywe, uokoke.

Exit mobile version