Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 143 NAAMINI nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 143 NAAMINI nyimbo za wokovu

 

1
Baba sina msaada
Ila kwako pekee;
Kama kwangu ungefichwa,
Nifanyeje, Baba?

Sasa hivi naamini
Yesu alikufa,
Aliimwaga damu yake,
Nitoke dhambini.

2
Naamini mwana wako
Nipe nguvu zako;
Nijazie mahitaji,
Katika saa hii.

3
Ni furaha gani kwangu
Kukuona uso!
Nijue sauti yako,
Nipate neema.

Exit mobile version