Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 136 NIWE KAMA YESU nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 136 NIWE KAMA YESU nyimbo za wokovu

 

1
Unifundishe, Baba;
Ile njia ya sala;
Uniendeshe sana,
Niwe kama Yesu.

Niwe kama Yesu,
Niwe kama Yesu
Uniongoze, Baba;
Niwe kama yesu.

2
Unipe pendo, Baba,
Watu kuwaokoa;
Nyumbani na mjini.
Niwe kama Yesu.

3
Na unifahamishe,
Wakati ndio mfupi;
Unibidishe, Bwana,
Niwe kama Yesu.

Exit mobile version